Kuhusu Panda Digital

Tunajenga njia rahisi ya wanawake kuingia kwenye uchumi wa kidijitali.

Panda Digital inawawezesha wanawake Tanzania kushiriki kikamilifu kwenye uchumi wa kidijitali kupitia elimu, biashara, fursa, jamii, na msaada salama.Anza Kujifunza
Jamii ya Panda Digital

Tunachojenga

Elimu, biashara, fursa, na msaada katika mfumo mmoja

Kozi za Kiswahili zinazopatikana mtandaoni na kupitia SMS.

Soko la kidijitali kwa biashara zinazoongozwa na wanawake.

Fursa za ajira, ufadhili, mafunzo, na ukuaji wa biashara.

Panda Chat na Ongea Hub kwa ushauri na msaada.

Design ya safari

Kila mtumiaji anaingia kwa nia tofauti

Ndiyo maana muundo mpya haujapangwi kama pages za zamani tu. Tunaufungua kama journeys: mwanafunzi, mfanyabiashara, mtafuta fursa, mtaalamu, na admin.
Mwanafunzi

Nataka kujifunza ujuzi mpya

Jisajili -> Chagua kozi -> Jifunze -> Fanya maswali -> Pata cheti

Mjasiriamali

Nataka kukuza na kutangaza biashara

Jenga wasifu -> Sajili biashara -> Onesha bidhaa -> Pokea wateja

Mtafuta fursa

Nataka ajira, ufadhili, au mafunzo

Chuja fursa -> Soma masharti -> Omba -> Fuatilia majibu

Mhitaji msaada

Nataka kuuliza au kuripoti changamoto

Chagua Panda Chat au Ongea Hub -> Eleza suala -> Unganishwa na mtaalamu

Washirika

Tunafanya kazi na wadau wa maendeleo

EKNRoddenberrySegal Family FoundationSerengeti BytesWFT TrustWomen First